WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WASHEREKEA SIKUKUU YA EID KWA KUCHEZA MICHEZO MBALIMBALI
Waislam wa Mjini hapa wamesherekea sikukuu ya Eid kwa kushiriki kucheza michezo mbalimbali katika viwanja vya Ghmkhana
Waumini wamepata fulsa ya kushiriki mchezo wa mashindano ya kuvuta kamba.
Vuta ni kuvuta
Mchezo wa kushindana kuvuta Kamba umefanyika kwa makundi mbalimbali.
Mashabiki wakifuatilia michezo inayoendelea.
Wanawake wa Kiislam wakiwa tayari kuishangilia timu yao .
Ikafuatiwa na mechi ya mpira wa miguu baida ya Vijana wa Kiislam na timu ya Polisi Wakiislam, Matokeo yake Timu ya Vijana wa Kiislam imeibuka kidedea kwa ushindi bao 1-0.
Wakati soka likiendelea anaonekana Ustaadh Nuhu akiwahamasisha Vijana wa Kiislam huku akiruka kamba.
Staili hii ya uhamasisha ni burudani tosha.
Kutoka kushoto ni Sheikh Yazid,Mdau Nazad na Abdul Majid
Wadau na waumini wakifuatilia soka linalo endelea.
Hii ni katika kuakikisha Waumin wa Kiislam wanasherekea sikukuu kwa kutenda mema.