Bukobawadau

MUONEKANO WA SHULE YA KIISLAM JAMIA ILIYOPO MJINI BUKOBA

Muonekano wa Shule ya Msingi ya Kiislam Jamia, Jamia English Medium School.
Majengo ya Madarasa Jamia English Medium School.
 Ofisi ya Baraza kuu la Waislam wa Tanzania BAKWATA Mkoani Kagera.
 Jengo la ofisi za BAKWATA  Mkoa Kagera.
Wanafunzi wakielekea Darasani
Baada ya kipindi wanafunzi wakipeleka madaftali kusahishwa,Lugha inayotumika muda wote ni kingereza.


Wanafunzi wakiwa busy na masomo,Mmoja wao macho kwenye Camera yetu!!
Mwalimu Elisha akiwajibika ubaoni.
Kama zilivyo shule au taasisi nyingine, Pia Shule hii ya Jamia inachangamoto mbalimbali hivyo kwa kutaka kujua mengi kama mdau unaweza kuwasiliana na Uongozi wa shule kupitiani anuani hizi; Jamia English Medium School P.O. Box 183 • Bukoba, Tel: 011 255 28 2221237. Cell (Personal): 011 255 754 896704. Head Teacher: Hajat Nuriat Nuru ...
Nakutana uso kwa uso na Wanamama ambao ni Viongozi wa Jumuhiya ya Wanawake wa Kiislam  Tanzania BAKWATA Mkoa Kagera.
Wanawake wa Jumuhiya wa Kiislam Mkoa wakiwa wamekutana hapa shuleni kujadili maendeleo ya  mradi wao wa hospital  wanao endelea nao hivi sasa.
Kwa maelezo waliyotoa kupitia Bukobawadau, Jitihada zao katika mradi wa Hospital zinahitaji zaidi support kutoka kwa wadau popote pale,nasi tutapenda kuona mradi huo.
Sehemu ya Wajumbe wa Jumuhiya ya wanawake wa Kiislam.
 Mwisho Camera yetu inatoka maeneo haya huku ikiwaacha wanaendelea na kikao chao.

Next Post Previous Post
Bukobawadau