TAMKO LA SERIKALI KUHUSU WANAFUNZI WATAKAOSHINDWA MTIHANI WA KITADO CHA PILI!!
“Novemba
5/2012 wanafunzi wa kidato cha pili walianza mitihani yao ya Taifa huku
serikali ikitoa tamko kwamba mwanafunzi atakayeshindwa mara ya kwanza
atapewa fursa nyingine mwaka unafuata na baada ya hapo akishindwa kupata
alama zinazotakiwa, atatimuliwa shule.”
“Shule hizo hazina
walimu wa kutosha na hata wengine waliopo hawana viwango vinavyokidhi.
Utakuta shule moja yenye wanafunzi 300 hadi 400 ina mwalimu mmoja au
wawili.
Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa shule hizo wanajikuta wakikosa masomo muhimu kama ya Kemia, Fizikia, Kemia na Hisabati.”
“Kimsingi, mwanafunzi anayesomea katika mazingira magumu kama hayo
hawezi kufaulu kirahisi mitihani na kupata wastani wa alama 30
zinazotakiwa hata kama ataruhusiwa kurudia mitihani hiyo.”
“Novemba
5/2012 wanafunzi wa kidato cha pili walianza mitihani yao ya Taifa huku
serikali ikitoa tamko kwamba mwanafunzi atakayeshindwa mara ya kwanza
atapewa fursa nyingine mwaka unafuata na baada ya hapo akishindwa kupata
alama zinazotakiwa, atatimuliwa shule.”
“Shule hizo hazina walimu wa kutosha na hata wengine waliopo hawana viwango vinavyokidhi. Utakuta shule moja yenye wanafunzi 300 hadi 400 ina mwalimu mmoja au wawili.
Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa shule hizo wanajikuta wakikosa masomo muhimu kama ya Kemia, Fizikia, Kemia na Hisabati.”
“Shule hizo hazina walimu wa kutosha na hata wengine waliopo hawana viwango vinavyokidhi. Utakuta shule moja yenye wanafunzi 300 hadi 400 ina mwalimu mmoja au wawili.
Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa shule hizo wanajikuta wakikosa masomo muhimu kama ya Kemia, Fizikia, Kemia na Hisabati.”
“Kimsingi, mwanafunzi anayesomea katika mazingira magumu kama hayo
hawezi kufaulu kirahisi mitihani na kupata wastani wa alama 30
zinazotakiwa hata kama ataruhusiwa kurudia mitihani hiyo.”

BUKOBAWADAU
Bukoba Wadau ni mtandao unao toa habari na matukio yanayo tokea katika mji wa bukoba pamoja na mkoa wa kagera kwa ujumla.
Email:bukobawadau@gmail.com | Phone :Mc baraka:0784 505045, 0754 505043
Instagram @bukobawadau | Facebook @bukobawadau