Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Jioni ya leo Camera yetu ikiangaza kiwanja cha New Coffee Tree Hotel inakutana na Mdau Datus  Muchunguzi na mkewe wakiendelea kupata chakula.
 Mdau Bi Grace Rwihula akifurahia samaki safi wa kuchoma .
Mdau  Datus na mkewe Bi Grace kama walivyokutwa na Camera yetu.
 Ikiwa ni katika kuwapatia burudani wateja wake, Coffee Tree Hotel wanacho kikundi kinachoporomosha muziki wa live.
 Msanii BK Sonday akiimba nyimbo yake ya ASSECDO (LIVE) na kwa hisia kali.
 Camera yetu ikiangaza ndani ya Duka la Nguo la Sadath Boutique inakutana na wanandugu hawa pichani, Mdau Sadath kushoto na Bi Sauda.
Kila mmoja atakubaliana namimi kwa utambulisho huu wa Bi Sauda katika vazi la Kiafrica hakika imempendeza.
 Moja kwa moja tunaangaza katika ofisi za kampuni ya Ndege ya Worldlink Travel tours.
 Ndani ya ofisi Uso kwa Uso na Bi Rehana Gulam katika vazi lake la ushungi,


Next Post Previous Post
Bukobawadau