WALKGARD HOTELS &TOURS BUKOBA
WalkGard Hotels & Tours ndio wale wataalam wa utunzaji wa mazingira ya nchi kavu na maeneo ya Ziwa Bukoba na katika hili wanastahili pongezi za dhati kutoka kwako Mdau Msomaji
Walk Gard Hotel lengo lao ni kuweka mazingira safi na yenye rutuba pia ni wakufunzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali lijulikanalo kama "Kagera Mazingira Care"
Muonekano wa Jengo laHoteli ya Walk Gard yenyekutoa huduma bora ,hotel ina ya timu ya wafanyakazi wanao jiamini na pia wanatoa motisha kwa mteja kama vile kuhamasisha na kuchochea utalii katika mkoa wa Kagera.
Anuani sahihi walipo ni Maruku Rd, Bukoba, Tanzania,Mkoa wa Kagera Tanzania, Mjini Bukoba ,vivutio ni pamoja na ukumbi wa Sinema pamoja na Swimming pool ni hotel namba moja Mjini hapa.
Walkgard ni hoteli ya kitalii katika Mkoa wa Kagera iliyopo katika mpando wa Mlima wa Kashura ,hotel yenye mji ambayo ni pamoja na vyumba vyamkutano , sehemu za kuogelea (swiming pool) baa na bustani ya kuvutia.