MAKAMUZI YA 'DIAMOND PLATNUM' NDANI YA CLUB LINAS MKESHA WA PASAKA
Msanii mwenye kifua kilichojaa, Misuli na six packs, Rais wa Wasafi 'Diamond Platnum' akifanya yake ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club siku ya jana ikiwa ni Shangwe za Mkesha wa Pasaka.
'Diamond Platinum'na kundi zima la wasafi wakiwajibika Jukwaani.
Tofauti na sehemu nyinginezo,pichani Msanii Diamond akionyesha kupagawa na Toto la Kihaya! akipagawa na
Kivutio kikubwa ukumbini ni namna ya Uchezaji wa kundi zima la Wasafi.
Wasanii wanaounda moja ya kikundi cha 'Khanga Moja', wakionyesha umahiri wao wa kucheza miondoko ya taarab wakiwa na khanga moja tu
Khanga moja ndembendembe kama uonavyo na bado wanajibinua kihasara hasara, Ni balaaa tupu!
Khanga moja wakiendelea kufanya Kufuru ndani ya kisima cha burudani Linas Night Club.
Mashabiki nao mle mle!
Kikubwa ni kumwaga radhi tu!!
Wapenzi wa burudani
Wadau pichani wakicheck na Camera yetu
Mmoja wa wadhamini wa Onyesho hili , Ndg Lutta William akishow love na Mdau Ras Nord Kalikawe.

![]() |
Gsmart na Mtau wa TBL matukio ya mkesha wa pasaka yanapatikana papo hapo kupitia facebook page yetu, unacho takiwa kufanya ni kusearch bukobawadau na kuweka like tu!! |