WADAU MBALIMBALI USO KWA USO NA MDAU MTENSA UGHAIBUNI
Miaka 11 imepita sasa tangu majengo mawili (WTC) yalipoangushwa. Hata hivyo kumbukumbu yake bado haijafutika katika mioyo ya walio wengi Septemba 11 imekuwa ni tarehe yenye kumbukumbu nyingi na kubwa baada ya mashambulizi ya kigaidi kutokea. Siku hiyo ilibadilisha hali ya maisha sio tu kwa Marekani bali kwa ulimwengu mzima. Mdau Mtensa ameweza kufika katika eneo lilipotekea tukio hilo la kigaidi nchini Marekani na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 3,000.
Haya ni majengo yanayoendelea kujengwa jirani ni WTC.
Pichani anaonekana Mdau Mtensa ikawa tayari mabadiliko yanaonekana kuanzia miguuni.
Mdau Paul Rwechungura
Ndani ya duka linalo uza bidhaa mbalimbali za kumbukumbu ya Sep 11.