Bukobawadau

KIJIJINI KYASHA BUHEMBE ASKOFU KILAINI AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU GETRUDA KATEMANA

Jioni ya leo Nyumbani kwa Mzee Katemana,kijijini Kyasha Buhembe maelfu ya wadau wameshiriki katika shughuli ya Mazishi ya Bi Getruda Katemana, Mke wa Mzee Katemana,Shughuli hii imehudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na dini,Mazishi hayo yameongozwa na Baba Askofu Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba.
Marehemu  Bi Getruda  Katemana alifariki dunia siku ya alhamisi tarehe 4/4 /2013 na mazishi yamefanyika leo tarehe 8/4/2013 na kuhudhuliwa na Maelfu ya watu.
Shughuli ya mazishi ikiendelea.
Msaraba ukiwekwa kaburini
Kinacho endelea pichani ni mapambio ya nyimbo za dini.
Anaonekana Mzee Katemana akiwa na shada  lake mikononi
 Utayari wa wahusika kuweka mashada ya maua kaburini
 Watoto wa Marehemu na Mme wa Marehemu Getruda Katemana wakiweka mashada ya maua kaburini.
 Ni simanzi kubwa na majonzi kwa wanafamilia kuondokewa na Mlezi wao, Marehemu Getruda Katemana
Anaonekana Mtoto wa Marehemu akiwa na uzuni,ni mdau Gody Katemani.
 Hakika  makazi ya muda yatabadilika..ila Mahali pa mtu  kukaa milele hapatabadilika
 Mzee Baruti pichani kushoto


Tunaendelea kuangaza habari matukio  katika shughuli hii ya Mazishi ya Maregemu Getruda Katemana
Hivi ndivyo watu walivyo shiriki mazishi hayo.
Hali ya majonzi ikitawala kwa kila mdau.
 Mzee Pius Ngeze na Bi Rosemary Visram(mama parvin)

 Baadhi ya wanakwaya pichani
Haya ndiyo makazi ya Milele ya Marehemu Getruda Katemana
 Wadau mbalimbali wakitoa rambirambi zao.
Kutoka shirika la MAYAWA wakitoa salaam za rambirambi kwa Familia ya Marehemu
Uncle Salum akitowa mkono wa rambirambi
Katika hili na lile wadau pichani
 Pichani anaonekana Mdau Jumanne Bingwa, akiteta jambo na Kaka Mkuu.
 Mdau Dyamkama ,rafiki mkubwa wa familia hii naye ameshiriki katika mazishi haya ya Marehemu Getruda Katemana
 Mdau Amini Idrisa na Bi Salome(Mama Chui) wakibadilishana mawazo.
 Muonekano sehemu ya maegesho ya Magari yaliofika msibani hapo.
Mdau Hamis sehemu ya waliohudhulia mazishi hayo.
Wakati shughuli ya Idaba ikiendelea
Taswira ya  baadhi ya magari ya wadau msibani hapo.
BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa Pole za dhati kwa Familia ya Mzee Katemana kuondokewa na Mpendwa wao Marehemu Getruda Katemana , Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi Ameen!!



INAENDELEA SOON
Next Post Previous Post
Bukobawadau