MTOTO DEODATUS RWECHUNGURA DIOCLES ANATAFUTWA
Mtoto Deodatus Rwechungura Diocles mkazi wa Hamgembe Bukoba amepotea katika mazingira tatanishi akiwa nyumbani kwao siku ya jumatatu.
Deodatus Rwechungura Diocles ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari KOLPING maarufu kamaJOKOSEC.
Bukobawadau tunaomba yeyote anayejua habari za kijana huyu atusaidie kumpata kwa kuwasiliana na nasi kupitia namba zetu 0713 397241,0715 505043, 0754 505043 ,0784 505045 au namba za Mama yake Mzazi Mama Adolophina Kashaigili 0766388552 ama ndugu yake ajulikanae kwa jina la Dafroza Diocles 0657625781 au kutoa taarifa kituo chochote cha Polisi.