SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

25 June 2014

R.I.P MZEE MTORE WA KIJIJINI BUGANGUZI

Bukobawadau Blog tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mzee wetu , rafiki wetu mpendwa Marehemu Mzee Mtore , kilichotokea Jana June 24,2014 Katika Hospital ya Rubya.
Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika nyumbani kwake Kijijini Buganguzi.
Tunatoa pole kwa familia ya Marehemu,tunapoomba Mungu ailaze roho ya Marehemu Mzee Mtore mahali pema peponi, Amen!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU