Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY KWAKO MWANADADA NANCY!

Leo July 20,2014 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa 'Birthday' kwa Mwanadada Nancy Nas 'Nafsa'
Kwa umuhimu na kwa Maudhui yetu kuna watu kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa kupitia Facebook wall yao pekee ni sawa na utovu wa nidhamu!!
Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunakutakia kila la heri kwa siku hii na katika maisha yako kwa ujumla.
Siku ya leo iwe yenye furaha kwako wewe binafsi pamoja na familia yako pia,Mwenyezi Mungu akulinde katika kuendeleza harakati zako za kimaisha kila siku!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau