Bukobawadau

WAZIRI NAGU AHUTUBIA WAFANYABIASHARA WA UBELGIJI NA LUXEMBOURG

Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kaamala (wa kwanza kulia) na Bwana Maurice Vermeesch Mwenyekiti wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Ubelgiji. Wa kwanza kushoto ni Bwana Christopher Mramba Msaidizi
Next Post Previous Post
Bukobawadau