Bukobawadau

IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE NESTORY KASABILA

Shughuli ya Ibada ya kumbukumbu ya Mzee  Nestory Kasabila iliyo andaliwa na familia nyumbani kwake Kibeta nje kidogo ya Mji wa Bukoba Jumamosi Octobar 11,2014.
 Sehemu ya Waumini wakiendelea na ibada ya kumbukumbi ya kifo cha Mzee Nestory Kasabila
 Waumini wakiendelea na Ibada ya Mzee Nestory Kasabila aliyekuwa muumini mwaminifu wa kanisa lake la KKT usharika wa Kibeta.
 Watoto wa Marehemu Mzee Nestory Kasabila wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
Mdau katika  usikivu wa neno la Mungu
Mchungaji akiwa anaendelea  kuwahubiria Washiriki katika Ibada hii
 Dada Revina Kasabila akiwa katika maombi
Waimbaji wa Kanisa la Kilutheri  Kibeta
Kwaya ikiendelea kutumbuiza wakati wa Ibada ya kumbukumbu ya Mzee  Nestory Kasabila
Wanakwaya wakiimba na kumshangilia Bwana toka rohoni.
Mzee wa Kanisa akielezea kuwa Marehemu Mzee Nestory Kasabila alipenda kuimba na alishiriki kwenye kwaya na kuiongoza, pia alikuwa muumini mwaminifu wa kanisa lake.
 Anaonekana Bi Proscovia Stanslaus ambaye ndiye MC mwongozaji wa shughuli hii
Ndugu Andrew Mutagobwa akimtambulisha kinywaji Cha Windhoek  Draught kwa wadau  mbalimbali walioshiriki katika Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nestory Kasabila.
Wanandugu pichani wakifurahia sifa za Kinywaji cha Windhoek Draught
Shughuli ikiendelea.
Ndugu Datus Kasabila na mwenzake katika hali ya Usikivu wakendelea kupata Windhoek Draught kinywaji kinachosambazwa na  Kampuni ya Mabibo Beer,Wine & Spirits Ltd
Katika picha ya pamoja pichani katikati ni Mama Kasabila.
Chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nestory Kasabila
 Huduma ya Chakula.
 Wadau mbalimbali katika shughuli hii wakipata kinywaji cha Windhoek Draught
Windhoek Draught kinywaji chaguo la wengi.
 Huduma za Windhoek Draught ikiendelea
Kama kawaida utaweza kupata  Matukio zaidi ya picha  100 kupitia Ukurasa wetu wa facebook
 Ndugu Andrew Mutagobwa Kagya Mdau wa Windhoek akiendelea kutoa maelezo ya ubora wa bia hiyo
 Tukio la Mwisho wakati Wanachama wakimpongeza Mama Kasabila
 Pongezi nazawadi zikiendelea
 Endelea kuwa nasi kwa Sehemu ya Video  tukio kamili  kilichojiri katika Ibada ya kumbukumbu ya Mzee  Nestory Kasabila iliyo andaliwa na familia nyumbani kwake Kibeta nje kidogo ya Mji wa Bukoba Jumamosi Octobar 11,2014.
 Gonga hapa>>Bukobawadau Entertainment Media kwa matukio zaidi ya picha
Next Post Previous Post
Bukobawadau