Bukobawadau

NI 'BIRTHDAY PARTY' YA REHEMA RIDHIWANI..!

Naam!Kubali au kataa Bi Rehema Ridhiwani pichani ni miongoni mwa wanadada wenye majina makubwa Mjini Bukoba!Tuwe wote hadi matukio ya sherehe ya kuzaliwa kwake yaliyojiri Usiku wa Jumapili March 22.
 Shughuli ya Party ya nguvu aliyoiandaa Bi Rehema Ridhiwani pamoja na Udhamini wa Windhoek Draught imefanyika katika HOTEL maarufu na Chaguo la wengi , Transit Hotel the Walkgard.
Sehemu ya waalikwa wakiendelea kupata msosi  katika shughuli hiyo iliyokuwa na maandalizi  mazuri ,mpangilio safi na wingi wa mazagazaga/menu tofauti kwa Vyakula na Vinywaji.
 'Omlunji'Allan Mugisha  pichani kulia  akibadirishana mawazo na mmoja wa waalikwa
 Kama Mama,kama Dada yaani Yeye ndiye kila kitu kwake pichani kulia ni Bi Mau Maua Ramadhani wa Daftari akilishwa kipande cha Keki.
 Pichani kulia Bi Rehema Ridhiwani akimlisha kipande cha Keki  Bi Crista ambaye ni Mama yake Mdogo.
 Bi Hope Kasimbazi wa Makoko akilishwa keki .
Bi Rehema Ridhiwani akimlisha kipande cha Keki Shost wake Bibie Jesca Jess Jane
Kijana Ash K Bin Amar pichani.
 Kijana Samla D Othman  'Dogo Mkhusin' akilishwa Keki
 Mama Chui na London akilishwa keki
 Akiwa amesimamiwa vyema na rafiki wake wa karibu Mamaa Rehanna Mukadam (katikati) Bi Rehema anapata fursa ya kumlisha kipande cha Keki Mdau Paul Manyama aka 100/100
 Tupo na Udhamini wa Windhoek 100% Pure Beer
 Taswira mbalimbali shughuli ikiendelea
 Mau na Chui katika ...mshangao wenye furaha.
 Ni furasa ya wageni wote kupata Madikodiko
 Waalikwa wakiendelea kupata kitu Menu
Moja kwa moja kutoka katika HOTEL maarufu na Chaguo la wengi , Transit Hotel the Walkgard.
 Watu wanajiachia kwa raha zao ni March 22,2015 ndani ya
 Kadanke Gsmart pichani
 Matukio ya zawadi.
 Sehemu ya pesa taslim zilizotolewa kama zawadi
 Moja ya picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
 Shukrani kwake Mr. Rahym Kanyemela kwa ushirikiano wake katika Party hii ambapo Bi Rehema Ridhiwani anatimiza miaka kadhaa tangu aanze kuvuta hewa ya oksijeni
 Tukio linalo endelea ni Wadau kupiga cheers
 Bi Rehema anatoa Shukrani zake kwa wote walioshiriki sherehe ya siku yake ya kuzaliwa
 Mamaa Crista
Muonekano wake Bi Hope Kasibanzi wa Makoko.
 Anatabasamu Bi Rehema Ridhiwani mara baada ya kutoa shukrani zake za dhati kwa waalikwa wote
 Mwanadada Mcheshi na mstaarabu pichani Ms Judith
Binasi upenda kumwita Mama Moha ,wengi umuhita Mama Rehana Gulum ukipenda Mukadam ni mtu wa watu nasi 'Mnyakunu'!!
BOFYA HAPA KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA >>BUKOBAWADAU MEDIA Tafadhari kumbuka ku'like' ukurasa wetu kwa habari na matukio ya papo hapo!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau