Bukobawadau

TUNAPOKEA KWA MSHUTUKO NA MASIKITIKO MAKUBWA TAARIFA ZA KIFO CHA MZEE WETU ,KIONGOZI WETU SHUPAVU MZEE SAMWELI LUANGISA

Marehemu Mzee Samweli Luangisa pichani wakati wa Uhai wake.
Bukobawadau  tumepokea taarifa za kifo hiki kwa mshtuko mkubwa ,kutoka New York, Marekani alipokuwa anatibiwa.
Tunamwomba Mwenyezi ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Next Post Previous Post
Bukobawadau