Bukobawadau

SAKATA LA MAJI BUKOBA LAZIDI KUCHUKUA KASI LEO MACHI 29,2017

Kuhusu kukatika Kwa Maji mjini Bukoba ni kutokana na hatua ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuwakatia Umeme wadaiwa wote sugu na mashirika Umma ikiwa ni pamoja na BUWASA mpaka hapo watakapo lipa madeni.
 Wakazi wa Mitaa ya NHC Kashai wakiwa na ndoa za maji kichwani
 Sakata la maji bukoba leo Jumanne Machi 29,2017 ikiwa ni baada ya BUWASA Kukatiwa umeme na Tanesco kwenye vyanzo vya maji kutokana na kudaiwa. Manispaa ya Bukoba hatuna maji siku ya tatu sasa.
 BUWASA wanadai ni deni la mkandarasi aliyefunga mtambo na wizara yaani Serikali ndiyo inatakiwa kulipa. Na wizara haina pesa hakika ni changamoto
Hali hii ni fursa kwa waendesha pikipiki maarufu Mjini hapa kama Asecdo.
 Hii ni taswira Mjini Bukoba  leo jumanne machi 29,2017 hapa ni mtaa wa tupendane.
Next Post Previous Post
Bukobawadau