Umoja wa
Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote
wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja
wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi, terehe
13.05.17 saa 13:00 Mchana katika Address ifuatayo
Bob's Cafe,
Altendorfer Straße 375
45143 Essen
Ili kufanikisha mkutano wetu tunawaomba watanzania kufika kwa wingi mno, mkutano huu ni muhimu sana kwani kuudhuria kwenu ndio mafanikio ya umoja wetu na mafanikio yako wewe mtanzania unayeishi hapa ujerumani . Umoja wa Tanzania Ujerumani ( UTUe.V) ‘’Ndio mwavuli na Sauti ya watanzania Ujerumani’’

Mhe.Mfundo,mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani(UTU)
2 comment:
Tuunganishe nasi tunaoishi Auszria basi. Bitte
Tualike nasi watanzania walioko Tirol kwani twaweza join
Post a Comment