Bukobawadau

IBADA YA MATANGA YA MPENDWA WETU MA HILDA B.RUGAIMUKAMU WA NYAKATO - IGOMBE!

Familia ya Mzee Advocate Paulin Rugaimukamu wa Igombe Nyakato Bukoba wameungana na ndugu, jamaa, marafiki na wanajumuiya wote kwa ujumla katika Ibada maalumu ya kumaliza Matanga na kutoa shukrani ya Mpendwa wao Omumbeija Kazi Ma Hilda Boniface Rugaimuka aliyetangulia mbele ya haki mwaka 2018.
Mwanzo wa Ibada ya Mpendwa wetu Ma Hilda Bonidace Rugaimukamu- Wafiripi 1:21 Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo na kufa ni faida. Kama nitaendelea kuishi katika mwili, hii itaniwezesha kufanya kazi yenye matunda.
Lakini sijui nichague lipi! 23 Yote mawili yananivutia: nata mani niyaache maisha haya ili nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo naona ni bora zaidi
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ya kumaliza Matanga ya Mpendwa wetu iliyofanyika nyumbani kwa Mme wake Adv.Advocate Paulin Rugaimukamu  kijijini Igombe Nyakato
Taswira wakati Ibada ikiwa inaendelea
Watoto wa familia ya Mzee Adv. Boniface Rugaimukamu pamoja na Baba yao wakiendelea kushiriki Ibada
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ya kumaliza Matanga, Mwaka mmoja kifo ya Mpendwa wetu Ma Hilda Boniface Rugaimukamu
Bi Sharifa Karwani pichani kulia.
Neno la Bwana likitolewa na Mtoto wa Mwisho kuzaliwa wa Mpendwa wetu Ma Hilda Rugaimukamu na Adv Paulin Rugaimukamu, pichani ni Bi Immaculate Rugaimukamu.
Baba Paroko akiendelea kutoa neno katika Ibada.


Umati wa waumini wakiendelea kushiriki Ibada hiyo
Wanafamilia ya dvocate Paulin Rugaimukamu matoleo yao kama sehemu ya Sadaka
 Mama Rutaraka pichani wakati wa kupokea.
Waumini wakielekea kupokea sakramenti ya Ekaristi Takati.
Ms Vanessa na Bi Ninna pichani

Mama Godeliva Bayona pichani
Muendelezo wa matukio ya picha
Mwalimu Piace Kabyemela pichani kushoto
Wanakwaya wakiimba nyimba za mapambio ya kuabudu.
 Taswira mbalimbali katika picha
 Adv Paulin Rugaimukama na watoto wake Gilbert Rugaimukamu na Bi Neema B. Kato wakiwa tayari  ajili ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mpendwa wao.
 Mzee Adv.Paulin Rugaimukamu na mwanae Bi Consolatha P. Kamugisha wakiwa  tayari kuweka shada la maua kwa pamoja
Wanafamilia kwa pamoja wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wao Ma Hilda Rugaimukamu
 Lakini kwa sababu yenu naona kuwa ni muhimu zaidi nikiendelea kuishi. 25 Nina hakika kwamba, kwa sababu hii nitabaki na kuendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani
Bi Neema Kato akiweka mshumaa kwenye kaburi la mpendwa mama yake Ma Hilda
 Pole sana Mzee wetu ,nasi tunaendelea kumuombea mpendwa wetu kwa Mwenyezi Mungu ampe pumziko lililo jema
Muendelelezo wa matukio ya picha wakati wanafamilia wakiwa katika kaburi la Mpendwa wao Ma Hilda Rugaimukamu

Muendelezo wa matukio ya picha ,shughuli ya Matanga ya Ma Hilda B.Rugaimukamu
Masister wakiwa wameungana na waumini wengine kushiriki Ibada hiyo
 Mzee Advocate Paulin Rugaimukamu akitoa neno la shukrani pamoja na Utambulisho kwa wanafamilia na wageni waalikwa
 Utambulisho ukiendelea
 Eng Kamugisha,Mkwe mkubwa katika familia hii wakati wa Utambulisho
Miongoni mwa waalikwa ni pamoja na Ndugu Novatus Nkwama
Baadhi ya marafiki wa familia wakiendelea kufuatilia kinachojiri
 Mama Godelva Bayona  akiteta jambo na binti yake Vanessa
 Huduma safi ya Chakula ikiendelea kutolewa
Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya Chakula

Wageni waalikwa wakiendelea kupata kile kilichoandaliwa mara baada ya msosi
Hivi ndivyo ilivyokuwa katikashughuli hiyo iliyofanyika Kijijini Igombe Nyakato Bukoba
Wakibadilishana mawazo
Dada Conso akisoma Ujumbe uliopo kwenye picha maalum kwa ajili ya Mama yake mpendwa.
Hakika tutakukumbuka mama yetu mpendwa!
 Watoto watano wa kuzaliwa na Marehemu Ma Hilda Rugaimukamu wakiwa katika picha ya pamoja katika kaburi la Mama yao mpendwa
 Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Bi Consolatha P. Kamugisha katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
#Bukobawadau tunaendelea kumuombea Mpendwa wetu Ma Hilda Rugaimukamu pumziko jema milele na ahueni kwa familia yake.




Next Post Previous Post
Bukobawadau