SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

23 November 2021

WELCOME TO G-7 MOTEL AT KASHURA HILL BUKOBA

G7 Motel  iliyopo Mjini Bukoba inatoa huduma ya kulala wageni na Ukumbi wa Mikutano Ipo maeneo ya kashura barabara ya Tibaijuka mkabala na Ofisi za EDI
Muonekano wa nje  G-7 Motel Wote mnakaribishwa!!!
Karibu ujionee mandhari nzuri na ya kuvutia

Vyumba vizuri Sehemu  tulivu  iliyopo pembezoni  ya Mitaa  ya Bukoba /Vilima vya kashura,Dstv kwenye kila chumba na  Bei nzuri Sana Mawasiliano 0621850720 /0763485788
Mtaalam Ave Tibaigani pichani mmoja wa majirani hapa G-7 Motel
Eneo la maegesho lenye Usalama wa kutosha
Karibu G-7 Motel hakika ni sehemu Sahihi Kabisa...
Sehemu Safi ya mapokezi yenye kila sifa
Vyumba vizuri vyenye kutoa faraja zaidi ukiwa umepumzika, Dstv kwenye kila chumba na  Bei nzuri Sana Mawasiliano 0621850720 /0763485788
Muonekano wa maegesho ya uhakika ndani ya G-7 Motel
Ndani ya vyumba vya  G-7 Motel Vyumba vizuri vyenye kutoa faraja zaidi ukiwa umepumzika.Dstv kwenye kila chumba na  Bei nzuri Sana Mawasiliano 0621850720 /0763485788


 

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU