Bukobawadau

AJALI ILIYOTOKEA MULEBA ;LORI LAPARAMIA FREMU ZA BIASHARA..

Lori lililokuwa limepakia Mchele liliacha njia na kuparamia Framu za Biashara na kusababisha uharibu wa MALI Tukio limetokea May 23, 2025 Majira ya Saa 12 Alfajiri eneo la Kagoma Wilayani Muleba Shuhuda wetu anatujuza

TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI

#BukobawadauMatukio #Muleba #Kagoma
Next Post Previous Post
Bukobawadau