tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post2491346623438319991..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : ASEMAVYO MDAU MWESIGA 'KAGERA YAGERA'BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-4695212915725095112016-04-09T19:49:59.155+03:002016-04-09T19:49:59.155+03:00Mbona hukusema chochote kuhusu ujenzi wa chini ya ...Mbona hukusema chochote kuhusu ujenzi wa chini ya ya viwango wa daraja la Kanoni ambalo ni lango la kuingia Bukoba mjini. Au ilikuwa "bado"? Hata katika enzi za mkoloni daraja hilo lilikuwa pana zaidi ya sasa. Ukiweza tafuta hotuba ya Mhe. Salim Ahmed Salim aliyoitoa Bukoba wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani. Mbali na uongozi wa ngazi ZOTE kuchangia kuiteketeza Kagera, wanakagera nao wanahatia maana ndiyo chanzo cha yote. Yalianza zamani na yamechukua muda mrefu. Kuyarekebisha kutachukua muda mrefu pia. Lakini inabidi kuwa na mipango ya muda mfupi na mrefu, tubadili tabia, tuwe wakweli, tuwe na moyo na uvumilivu tupate viongozi waaminifu na wenye kuona mbali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-5517878482689753512016-04-09T19:44:38.200+03:002016-04-09T19:44:38.200+03:00Mbona husema chochote kuhusu ujenzi wa chini ya ya...Mbona husema chochote kuhusu ujenzi wa chini ya ya vuwango wa daraja la Kanoni ambazo ni mango la kuingia Bukoba mjini. Hata katika enzi za mkoloni daraja hilo nilikuwa pana zaidi ya sasa. Ukiweza tafuta hituba ya Mhe. Salim Ahmed Salim aliyoitoa Bukoba wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani. Mbali na uongozi wa ngazi ZOTE kuchangia kuiteketeza Kagera, wanakagera nao wanahatia maana ndiyo chanzo chuo yote. Yalianza zamani na yamechukua muda mrefu. Kuyarekebisha kutachukua muda mrefu pia. Lakini inabidi kuwa mipango ya muda fupi na mrefu, tubadili tabia, tuwe wakweli, tuwe na moyo na uvumilivu tuoate viongozi waaminifu na wenye kuona mbali.Anonymousnoreply@blogger.com