tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post3639526556428584358..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-62856418220095072602015-10-03T10:11:52.656+03:002015-10-03T10:11:52.656+03:00Jenerali nakubaliana na mawazo yako kwa kiasi ila ...Jenerali nakubaliana na mawazo yako kwa kiasi ila naona kuwa kujitenga kwa JPM na chama chake ni kwa kuwa anahisia kuwa uteuzi wake katika kugombea urais haukuwa wa chama as a 'collective consensus' badala yake ilikuwa ni 'individual collective consensus'. Kwa upande mwingine pia anahisi chama hakimtambui sana kama vile na yeye asivyokitambua chama kama inavyotakiwa. Hapa ndipo swali.linapoibuka aanze JPM au kianze chama sitaki kujenga taswira ya kuku na yai katika mjadala huuAnonymousnoreply@blogger.com