tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post4641313647525117213..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : AJALI MBAYA KAHAMA MAPEMA YA LEOBUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-87623472949960297202014-11-17T10:51:42.563+03:002014-11-17T10:51:42.563+03:00Nilisema kwamba kinachotumaliza ni trafiki na si a...Nilisema kwamba kinachotumaliza ni trafiki na si ajali mdau mmoja akasema nisiende huko, eti mbona hata ndege zinaanguka kwani nazo ni trafiki! Ni kwamba ukifanyika uhakiki wa uhakika sidhani kama unaweza kupata hata dreva mmoja kati ya 10 mwenye leseni ya kweli kwa hawa wanaoendesha magari makubwa ya abiria. Wengi wamejifunzia kuendesha kwenye karakana za magari, wakitoka hapo wanafanya wanavyojua na kupata leseni. Kusema ukweli hawaelewi lolote kuhusu sheria za barabarani. Siku moja nilikoswakoswa na basi liendalo mikoani nikiwa na askari wa usalama barabarani kwenye kivuko cha pundamilia, ajabu hata askari huyo hakuona kama pale kuna hitilafu! Yeye ndiye aliyeniambia, "I say tumeponea chupuchupu"! Kwa mtindo huo ajali ikitokea niseme ni ajali au trafiki?Prudence Karugendonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-23770278174163229792014-11-12T15:38:31.117+03:002014-11-12T15:38:31.117+03:00Jamani ooooh M.Mungu nini jamani kila siku vilio n...Jamani ooooh M.Mungu nini jamani kila siku vilio nchini kwetu, kweli hizi ajali zimezidi kweli ni tatizo la Leseni? ama!!! ninawasiwasi sana na Leseni nchini kwangu, watu wanakufa bila hatia jamani, tuangalieni sana nchi yetu, nchi ya amani, tumeepuka mengi mojawapo gonjwa la Ebola sasa inakuaje tusijiwekee misingi ya kulinda uhai wa ndugu zetu? jamani! ukiuliza nini chanzo wanasema speed!! Mungu ziweke roho za marehemu mahala pema pepo, nawaponye haraka walopana katika hajari hiyo.<br /><br /> speed speeed.Maviii h.k GermanyAnonymousnoreply@blogger.com