tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post5445764409397309591..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : HABARI ZAHIVI PUNDE KUTOKA HOSPITALI YA MERCY,SIOUX CITY IABUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-39038472314955211942017-05-19T08:31:15.714+03:002017-05-19T08:31:15.714+03:00Mc Binafsy kuna mamabo tunayaona wenzetu wanavyoji...Mc Binafsy kuna mamabo tunayaona wenzetu wanavyojitoa, upendo na kujitoa kwa ajiri ya mtu mweingine ambaye huna hata undugu naye ni jambo kubwa sana la kujifunza. Watz tujifunze kubwa zaidi tuwashukuru sana kwa njia zote. Mh Nyarandu pia ni Kiongozi mwenye mahusiano mazuri. Tuwaombee sana watoto wetu na kumshukuru Mungu.

KUTOA NI MOYO- GHARAMA YA KUKODI NDEGE ROUTE AMERICA- TZ- AMERICA- TZ - AMERICA NI SH NGAPI? MALAZI YA WAZAZI WA WATOTO, CHAKULA, MATIBABU? HAPO NDIO UTAONA HELA NI MATOKEO UTU NDIO JAMBO KUBWA YAANI HUMANITARIAN

Ujumbe wangu hasa kwa waliobahatoka kuwa nacho TUJIFUNZE KUJITOA KWA WAHITAJI

MH WILLIAM RUTTA +255 713 568276Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/15461641492332766859noreply@blogger.com