SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

30 January 2014

R.I.P MZEE ABDALLAH NZOMKUNDA


  Bukobawadau Blog tumepokea taarifa za kifo hiki kwa masikitiko makubwa, tunapenda kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa familia ya Marehemu Mzee Abdallah Nzomkunda,pole kwa Watoto wa Marehemu,dada zangu Amina (nash)Aida ,Aishath,pole pia bro Hamidu na Rajab Pole kwa Kampuni ya Visram kumpoteza staff wenu, pole jirani yetu  Tigo kuondokewa na Baba Mkwe.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'oun!!

2 comment:

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu awatie nguvu wafiwa na apate kuilaza roho ya marehemu pema peponi..

Anonymous said...

Poleni sana wafiwa , alitulea sana aucle R.I.P

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU