Bukobawadau

Camera yetu pande za Mleba

Hivi ndivyo inavyo onekana mitaa mbalimbali ya pande za Mleba.
Pichani ni Mh.Hassan Milanga.Diwani wa kata ya Mleba Mjini,Jimbo la Mleba kusini ni miongoni mwa viongozi wanaojuwa utendaji wao kwa dhati kabisa.
Camera ya yetu mitaa ya Mleba ndivyo wanavyo onekana wadau wakiwa wanapata kahawa kijiweni na pitapita maeneo ya sokoni Kariakoo.
Kwa wakazi wa Bukoba mjini asa pande za Rwamishenye,Nyakanyasi,Buyekera na Kashai imekuwa ni kawaida kila mida ya jioni hadi usiku kukusanyika sehemu moja yenye umaarufu kama soko na kufanya maemezi ya kila siku na wadau hupeleka bidhaa zao aina mbalimbali kuuza sehemu hizo swala hilo lipo pia Maeneo ya Mleba kama inavyo onekana wadau wakivinjari mitaa ya kariakoo Mleba.
Next Post Previous Post
Bukobawadau