Bukobawadau

MAN U. WAKALIA KUTI KAVU WADUNDWA GOLI 3 KWA 1 NA MABINGWA BARCELONA....

Man of the MATCH Mess akishangilia ushndi baada ya kuidunga Manchester united,BACA ilitoka kidedea kwa bao 3 kwa 1

Ilikua ni furaha ya aina yake baada ya kuidunga Man UNITED
Wayne rooney akijaribu kumtoka Lionel messi bila mafanikio

Pep Guardiola ajinyakulia makomkombe kiulainiiii yote ya kwake,kweli huu ni msimu wake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau