Bukobawadau

CAMERA YETU NDANI YA JAMCO BARBAR SHOP

Hapo anaonekana ndani ya saloon ya kisasa kabisa akiwa anasubilia huduma ya mwisho baada ya kufanyiwa scrab na kuonekana nadhifu kabisa!!!!yote hii ni ndani ya jamco barbar shop iliopo Mitaa ya Miembeni mkabara na Modern bar mjini bukoba hata wewe msomaji mdau waweza kujitangaza na sisi kwa njia hii hapa hapa!!!
Camera yetu imeshuhudia baadhi ya wadau wakiwa wamepaki maeneo ya Jamco barbar shop wakisbilia watu wapunguwe ili waweze kupata huduma kama walivyo kusudia.
Hii ndiyo hali halisi kuonyesha jinsi na namna walivyo jipanga
Hiyo ni mitaa ya Nkango miembeni bukoba ni jirani kabisa na Jamco barbar shop iliopo barabara ya zamani ya Kashai.
Next Post Previous Post
Bukobawadau