Bukobawadau

Camera yetu Ndani ya Misifa Classic Wear

Kona mbalimbali ndani ya duka kubwa la kisasa la Misifa classic wear,wauzaji wakubwa na wasambazaji wa viatu,jeans.mavazi ya kiume,saa za aina mbalimbali,mavazi ya kike,kofia,nk.
Ndani ya Misifa Classic Wear unaweza pia kujipatia suti kali kwa kila saze,duka hili lipo mtaa wa Miembeni,barabara ya zamani ya kashai jirani na kwa Mzee Sokwala.
Pichani ni Ndg John Big Bigirwa ni shop manager misifa Classic Wear.
Ni misifa Classic wear(director Erasmus George
Miembeni street-bukoba Tz
makoroboi street -Mwanza
Next Post Previous Post
Bukobawadau