Bukobawadau

Hapa na pale ,hili na lile na wadau

Wadau toka zamani awakuwa nyuma katika nyanja mbalimbali ususani biashara,Kumbukumbu zinaonyesha wapo walio izawadia serikali manyumba na viwanja kama ( MZEE ABOOS)maarufu kama BGT ,Hata mwenye gari hili(KUGI'S)Mwenyewe binafsi alipenda kutumia neno Kagera kwetu mpaka mwishoni mwa 90.Leo hii kila kitu ni historia na tunashuhudia gari moja tu hapa bukoba nalo ni bovu kama la kumbukumbu uwanjani.(wadau turejeshe uzalendo)
Ni ndani ya AFZAL SHOP ndio jibu sahihi nakupa siri.Hapo pichani ni Ndg Rafik Remdin shop manager akiwa na mdau mwenzake wa siku nyingi Mr LeeMac Shaban Njwerige(Kanana) kama walivyo kutwa na camera yetu.
Pichani ni Ndg Said Mshamu mchezaji wa zamani RTC Kagera.Kama alivyo kutwa na camera yetu akipitia kurasa za michezo gazetini.
Mdau Abdulnasi Kangezi mwenyewe anasema angependa kuitwa (Budanasi)
Mdau Afidhu Kalugira maarufu kwa jina la Nkurukumbi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau