Bukobawadau

Pita pita za Kitaani....Wadau na maisha ya kila siku.

Nanasi ni zao linalo sitawi kwa wingi Mkoani Kagera.Pichani ni mdau mfanya biashara ya nanasi zenye ubora kwa mda mrefu saaana
Shughuli za gereji zikiendelea kama kawaida hii ni Gereji maarufu saana ya Ndg Mohammed Remdin iliopo kashozi Road mjini bukoba karibu na machinjio ya zamani.
Wenger hair cutting Saloon ni Saloon Maarufu pande za bukoba mjini,si tu kwa unyoaji mzuri wa nywele au ushabiki mkubwa wa mpira,kikubwa zaidi ni hali ya usafi na umakini kiukweli unalizisha saaana.Saloon hii ipo pande za miembeni jirani na hostel ya bukoba sekondari.
Bwana Mrishid wa Rose cafe akifanya malipo baada ya kunyolewa.


Yote tisa kumi ni ile hali ya kila kona mjini bukoba ni biashara ya senene kitu kilichopelekea biashara nyingine za mboga mboga kudoda kwa mda.
Next Post Previous Post
Bukobawadau