Bukobawadau

The revange of Bilele!!!

Katibu wa Bilele Mr Optaty Kajuna katika benchi la ufundi.

Kikosi Imara cha timu ya Bilele.(wahapa hapa)
Pichani ni Mr Ibrahim Mabrouk,Mr ernest Nyambo,Mr Sosi Nshaka,na Mr Malick Tibabimale mda mchache kabla ya kusalimiana na wachezaji
Kutoka kushto ni Balozi Kagasheki na wa pili ni RPC Henry Selewi
Watu walipalamia miti ili waweze kuona mpira unavyo endelea.
Ndivyo Camera ya wadau ilivyo mnasa Mtangazaji wa 88.5 Kasibante Fm Radio Abdul-razack Majid akitangaza live bila chenga juu ya yalio jiri uwanjani na hapo niwakati bao la pili la Bilele lilipotinga nyavuni kupitia kwa mchezaji mahiri(homeboy)Khalfan Rashid Chino kitenge wa kabeya.
Mwandaaji wa fainali hizi Mh Henry Selewi (RPC) Mkoa kagera akitoa nasaha kabla ya kiputa kuanza.
Mashabiki wa Bilele wakishangilia kwa naksh na drop za toka enzi na kama kuna furaha walio kuwa wame ikosa toka enzi za Balimi moja wapo ya timu iliokuwa na masikani mitaa ya Uswahili ndani ya kata Bilele ,basi leo ilikuwa kivingine Zaidi kama unavyo jionea na utakavyo jionea kupitia bukobawadau.(Jukwaa hili ni maarufu kwa jina la Golani).
Mashabiki wa Bakoba wakifatilia mpambano.
Mh Balozi Hamisi Jumasued Kagasheki(Mbunge)Bukoba Mjini Naibu waziri Wizara ya mambo ndani,akiingia uwanjani Kaitaba.
Wadau wa Bilele wakiwa wanasikilizia Pichani ni Ndg Amin Abdul Amin(mnyemnye)na Ndg Burukadi wa ATL.
Mdau na mchezaji wa Bilele Hassan Goronga(kisiki) akiinua kombe kwa furaha
Baadhi ya waandishi wa habari wakifatili mpambano kushoto ni Mr Kalude.
Pichani kushoto ni Mh Bigambo Diwani Kata ya Bakoba na Kulia ni Mh Ibrahimu Idd Mabrouk Diwani Kata ya Bilele ambapo wote ni wawakilishi wa Cuf na wote timu zao ndio zilikutana na Bilele aka wa hapa hapa wakimaanisha mjini kati kuibuka kidedea kwa kuwafunga Bakoba magori 2-0.
Next Post Previous Post
Bukobawadau