Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU;Hii ni Family Day ya wadau wa TBL Bukoba

kivutio na kielelezo mojawapo cha mji wa bukoba kisiwa cha Msila
Pichani ni Mdau bwana Banyikila akiwa anaendelea kujiburudisha na Miller ya baridi.
HR ADMINISTRATOR Mr Makani anajumuika na wafanyakazi wa TBL Bukoba
Mr Shayo kushoto na Mr Robert wakiwa wamechial wakipata upepo wa lake victoria kwenye ufukwe wa Space beach Motel.
Sehemu ya wadau kwa pamoja Mr George Lyakurwa wa kwanza nae alikuwepo.
chears wadau kwa pamoja kuonyesha upendo na ushirikiano walionao kiasi inapendeza saana.

Mdau wa Tanzania Konyagi Mr Sunday Reuben ndio anafika nakusalimiana na wadau wenzake.
Swagar zaidi contnue.
Katika hali ya kusitahajabu na kuvutiwa kinacho unamwona Mr George Bundala(deport manager)kulia akitafakari mwenendo wa shughuli nzima.
Upande wa burudani pamoja na muziki mkubwa uliokuwepo kivutio ilikuwa na uwezo na umahiri wa Mr Robert Gabriel na Dada Halima walivyo burudisha kwa kuimba nyimbo mbalimbali za taarab.
Shughuli bado inaendelea kama unavyo jionea watu wakijirusha.
Wadau walifurahi na kusherekea kwa kula na kunywa kwa pamoja.
Wadau walitoka na familia zao ili kukamilisha uhalisia wa tukio lenyewe,kama unavyo weza kuwaona watoto wa wadau wakicheza mchangani
Michezo mbalimbali ilikuwepo katika kuweka hali ya furaha kwa pamoja
Wadau wakiendeleza swagar kwa mikato mbalimbali
Picha za pamoja katika yawafanyakazi wa TBL Bukoba na wadau waalikwa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau