Bukobawadau

Mtaa kwa mtaa na Camera yetu.!!!

Ni mdau Mangi Said Badru akiwa katika miangaiko yake ya hapa na pale,hii yote ni kuonyesha yupo na bukobawadau kwa lolote lile!!!
Ni saloon ya kisasa kabisa kwa huduma mbali mbalikama bango linavyo jieleza.
Michuano ya kombe la Selewi kuendelea mjini bukoba ambapo Jana Timu ya Bakoba iliweza kuipa kichapo timu ya Rwamishenye jumla ya mabao 9-1 ilikuwa ni sakata la kipekee.
Maadhimisho ya Siku ya Ushirika kitaifa bado yanaendeea mjini bukoba katika picha ni baadhi ya vibanda na wadau wakionyesha bidhaa mbalimbali,Maadhimisho haya yatafika kileleni Jumapili ya weeki hii ambapo Mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano Dr Jakaya Mrisho Kikwete.
Next Post Previous Post
Bukobawadau