Bukobawadau

New Zanzibar Modern Taarab Watumbuiza linaz Club Usiku wa Jana

Mzee Bayona in action!!!!!!!!!!
Mwimbaji wa kibao cha sichagui sibagui Bi Zubeda Mmali

Ndg Enock
Mr Rahim,maarufu kama Dj Ray wa linaz night club na 88.5 Kasibante Fm Radio
Kushoto ni Bi Amina Hamis Gorongo ,katikati ni swahiba wao na wa mwisho ni Bi Lilian Haruna Goronga ni miongoni mwa wadau wachache walio kuwepo kwenye onyesho.
Mr Bayona miongoni mwa wazee wasio kosa kiwanja kila weeknd kama unvyo muona na vazi lake la panjab.
Kwa mtambo alikuwepo Dj Max
Wadau katika picha ni Mr Sudy Karatasi na Mr Folo (Optaty shop)
Mr Iman Mzee wa kabasanda nae ndani ya Nyumba
Next Post Previous Post
Bukobawadau