Bukobawadau

Precision Air Services Imeanzisha safari za Ndege kwenda Nchini Africa Kusini

Mkurugenzi na ofisa Mtendaji Mkuu wa shirika la Ndege la Precision Air Services LMT, Alfonse Kioko, (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi katika hoteli ya Kilimanjaro Kempsk jijini Dar es Salaam, kuhusu kuanzishwaji kwa huduma mpya ya ndege za kampuni hiyo kwenda nchini Afrika Kusini, iliyoanza kutolewa na shirika hilo hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ubora na Usalama, Bwana Allen na kulia ni Kulia ni Mkurugenzi wa biashara Phil Mwakitawa. Picha na Victor Makinda.
Next Post Previous Post
Bukobawadau