Bukobawadau

Rubani Afanya Ngono Kwenye Kiti cha Urubani!!!!

Shirika la ndege la Cathay Pacific la Hong Kong limeanzisha uchunguzi mkali kufuatia skendo kubwa lililoikumba shirika hilo la ndege baada ya kuonekana kwa picha za rubani wake akila uroda na mhudumu wa ndani ya ndege kwenye kiti cha rubani.
Picha zimezagaa kwenye mitandao zikimuonyesha rubani wa ndege ya Cathay Pacific akiacha majukumu ya kazi yake na kuamua kula uroda na mhudumu wa kike wa ndani ya ndege.
Ndege ya shirika la ndege la Cathay Pacific

Picha hizo zimelitikisa shirika la ndege la Cathay Pacific lenye makazi yake mjini Hong Kong.

Shirika hilo la ndege limeamua kuwafukuza kazi rubani na mhudumu huyo wa ndani ya ndege baada ya picha hizo kuzua maswali ya usalama wa abiria ndani ya ndege za shirika hilo.

Ili kuzuia picha hizo zisisababishe madhara zaidi, Cathay Pacific liliwahi kutoa taarifa iliyosema kuwa picha hizo zilipigwa kabla ya ndege kupaa.

Miongoni mwa picha zilizozagaa kwenye mitandao zinamuonyesha mhudumu huyo wa ndani ya ndege akinyonyana sehemu za siri na rubani huyo kwenye kiti cha rubani.

Picha hizo zilianza kuonekana kwenye blogu mbali mbali za nchini China na kupelekea shirika hilo kuanzisha uchunguzi wa ndani juu ya picha hizo.

Awali picha hizo zilionekana kama ni za kufoji zenye lengo la kuharibu sura ya Cathay Pacific lakini baada ya uchunguzi kukamilika iligundulika kuwa picha hizo zilikuwa ni za kweli.

Magazeti ya China yaliripoti kuwa wawili hao walikuwa ni wapenzi na picha hizo ziliibwa toka kwenye kompyuta ya rubani na kusambazwa kwenye tovuti mbalimbali duniani.


Next Post Previous Post
Bukobawadau