Bukobawadau

TAARIFA YA MSIBA! MZEE MAARUFU SANA ALMAARUFU KAMA BUBU AFARIKI DUNIA

Marehemu enzi za uhai wake akiwa katika shughuli yake ya kila siku maeneo ya Bukoba secondary school.
Kwa habari tulizozipata ni kwamba mzee maarufu hapa bukoba mjini, ambae alikua akifanya kazi ya kuuza karanga katika maeneo mbalimbali ya mji wetu wa bukoba almaarufu kama BUBU hapo pichani Amefariki dunia jana
Bukoba wadau tunatoa pole kwa familia ya mzee huyu na Watanzania wote kwa ujumla
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amiin.
Next Post Previous Post
Bukobawadau