Bukobawadau

Tour ya Wadau Rubondo Island National Park

Mdau Faishary Zaire juu ya boti uku akifurahia kile kinacho endelea safarini,huu ndiyo utarii wa ndani tunaomaanisha
Safari ya kutokea mwaloni Chato kuelekea Rubondo Ikiendelea
Boti ikichukua kasi
Tunamshkuru mungu tulifika salama salimini na tayari jua limezama ndivyo nafsi za wadau pichani zikiwatuma
bonge la background
Wadau pichani ndg Evody a.k.a(bambuu)na Ndg Deus
Ndg Willy manager wa kiroyera tour ambao ndio wadhamini wakubwa wa safari hii akiwa katika hali ya furaha kwa kucheza muziki
Ndg Deus,Evody na Masikini halali mchana(aliyesima)
Wadau wakipata raha pichani ni home boy ndg Thomas Charles
Wadau wakitumbuiza na wengine kuburudika kwa live band uko uko Rubondo

wadau wanaendelea kuburudika kwa nyimbo mbalimbali,ilikuwa ni hali ya aina yake(bukobawadau kwa mara yatena tunawashukuru Kiroyera tours kwa kuweza kuweka amasa katika utalii wa ndani na kuwafanya wadau wajumuike kwa pamoja)

Swagar za Faishady
Wadau katika kabadilishana mawazo
Wadau asubuhi wakipata kifungua kinywa
Wadau wanaendelea kupata chai
Kuna visiwa vidogo vidogo vyenye wanyama na ndege tofauti,hivi ni baadhi ya visiwa ambayo wadau waliweza kuvitembelea.
Maisha kama haya nayo ni sehemu ya utalii kuwaona wadau wakionja pombe za kienyeji,tayari kipato kinamfikia muuzaji wengine wanakumbuka balagara(bago)na togwa wahaya wanasema (omulamba)hii ni kijiwe fulani wakati wakurudi hapo ni maeneo ya Muleba

Bila shaka wadau wengi mmetokea maeneo haya(Jimbo la mama Anna Tibaijuka)hivi punde tu tutawahabalisha yale maafa yaliotokana na upepo mkali na kuangusha migomba na paa za majumba)
Shughuli nyingine zinaendelea na barabara inapitika kilahisi ni kazi kubwa ya Mh Maghufuli inaonekana bukobawadau tunampa pongezi zake!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau