Bukobawadau

Wakazi wa Kampala waanza shughuli zao Sokoni Owino baada ya Janga la Moto!!!

Namna hekaheka zinavyoendelea Sokoni Owino nchini Uganda,watu wameanza ujenzi wa mabanda ya biashara japo eneo ni finyu na kupelekea msongamono ila hali halisi ndio iko hivyo
Chanzo cha moto inasemekana ni kutokana na wafanya biashara wengi asa wa mahoteli ya humo sokoni kuacha moto kwenye majiko(sigiri)sa utokea hali ya moto huo kutanda asa mida ya usiku na kuenea kwa kasi kubwa.
Mdau Yusuph Wastara akiwa pande za Owino katika hali ya kutaamaki.
Bukobawadau blogspot tunatoa pole kwa wakazi wote Nchini Uganda waliofikwa na mkasa huu na kualibikiwa shughuli zao kwa namna yoyote.Na shukurani za pekee kwa Mdau wetu aliyetufikishia Picha hizi Ndg Yusuph Wastara.


Next Post Previous Post
Bukobawadau