Bukobawadau

Yaliojili kashai baada ya ushindi Nyumbani kwa Mchungaji!!!!!!!!!!!!

Ni shangwe,ndelemo,mayowe,burudani na vifijo kwa timu ya Kashai baada ya kuifunga Miembeni 3-1

Ni mwendo wa vidole vitatu hewani
Naodha wa timu ya Kahai Joanes(Joa)akizidi kupokea pesa kutoka kwa mdhamini,mlezi na mwombaji Ndg Mchungaji mwenye mavazi ya blue

Umati wa watu uliojitokeza uko mafumbo kwenye kambi ya timu na masikani ya Mchungaji

Katikati ni mdhamini wa ashai FC Ndg Mgisha akiwa sambamba na mashabiki wa kashai
Baadhi ya wachezaji nyota waliopelekea ushindi

Kila pembe ya kashai ni Joa!!,Joa!!!,Joa!!!!

Ni full taflani nyumbani kwa mchungaji

Bukobawadau tunatoa shukrani za pekee kwa mdau mkubwa, Mdhamini wetu na mdhamini wa Kashai Fc Ndg Peter Raphael Mgisha kwa kutufikishia picha hizi
Next Post Previous Post
Bukobawadau