Bukobawadau

Hapa na Pale na Camera yetu

Mr Mkoyogo mara baada ya ndoa yake ya Maisha
Bibi na shangazi wakitoa pongezi na Ongera kwa mjukuu wao kupata jiko
Shughuli hii ya mdau wetu Mr Mkoyogo ilifanyika Pande za Muleba siku chache zilizopita

Bukobawadau blogspot tunatoa Ongera kwake na tunatoa angalizo kwa wadau popote pale kutuletea habari ,matukio yenye tija,picha na nyepesi nyepesi za hapa na pale.Na tunawashkuru wale wote wanao onyesha ushirikiano
.
Mdau Mr Ruge kama alivyokutwa na Camera yetu
Siku njema ni Kauli kutoka kwa Ndg Ramadhani Kambunga mwenezi wa CCM Wilaya ya Nkenge.
Pita pita za hapa na pale na namna shughuli zinavyo endelea mapema hii leo barabara ya Sokoine Mjini Bukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau