Bukobawadau

Maafari ya kidato cha Nne shule ya Sekondari Lake View

Mzazi akitoa pongezi kwa mwanae
Burudanina michezo mbalimbali ilifanyika

Ni mwendo wa kucheza kivuvuzela
Katika Pozy na Camera yetu
Vijana katika picha ya pamoja wakiwa picnic pande za Maruku

Bukoba watau tunatoa pongeza kwa wanafunzi wote nchini wanao hitimu Kidato cha nne na tunatoa angarizo kwamba kuweni makini katika maisha na swala zima la utandawazi.Nchi yetu inaitaji sana busara na umakini wenu katika kuiendeleza libeneke la maendeleo
Next Post Previous Post
Bukobawadau