Bukobawadau

MSHAMBULIA HATARI WA BUKOBA VETERANI MDAU PAULO KADUSHI AKIWAKILIHA MJINI MADRID NA KOREA

M-Bukoba veterani Paulo Kadushi 'MGALILAYA' akiwasili mjini Madrid Spain kwa mapumziko mafupi
Mdau Paulo 'Mgalilaya hakukubali mpaka akafika hapa "ESDADIO SANTIAGO BERNABEU" Uwanja wa Real Madrid
Mdau Paul Mdalilaya ndani ya uwanja wa 'SANTIAGO BERNABEU' wengi tunapenda kufika hapa lakini......
Mbishi Paulo mpaka akalifikia Kombe la UEFA 2002 lililochukuliwa na na Madrid kwa kuifunga BAYER LEVERKUSEN 2-1
Hapo kaza roho mdau
Kwa uhakika zaidi mdau Paulo Mgalilaya wa Bukoba Veterani
Wanapo ingilia wachezaji
Mdau hakukubali mpaka akaona tuzo ya mchezaji KAK'A 2007
Mdau aliendelea kufanya ubishi mpaka amekaa sehemu ya Super Coach-Mourinho
Mdau akukubali mpaka amegusa nyasi za Bernabeu ilikujilidhisha kama sio kapeti..Aaaah...aaah!!!!

Mdau alisogea kwenye kiwanja cha Athletico Madrid kushuhuia mechi huko Spain

Mdau Paulo Kadushi"MGALILAYA" akiwa kikazi zaidi,ebwana mzazi upo vizuri unatisha kaka....

Bukobawadau blogspot tunatoa shukrani kwa Kaka Mkuu kwa kutufikishia Picha hizi,tunaomba wadau wengine pia mtupe ushirikiano kama hivi
Next Post Previous Post
Bukobawadau