Bukobawadau

Harusi ya Mdau Ndg Ngirwa yafanyika Linaz Night Club

Ilikuwa ni full furaha kwa kila mdau aliye hudhulia
Hawa ndio wapambe wa Bibi Harusi
Mama Achi kushoto,mama Moha na Mama Husna (Hawa)
Wanakamati wakati wa kukabidhi zawadi yao kwa Maharusi

Zawadi kutoka kwa wanakati ni Gari kama unavyo jionea
Namna wadau walivyo enea kwenye ukumbi wa linaz night club
Katika matukio mbalimbali ya kukamilisha ratiba
Mwonekano wa Mwali

Mdau Sudy Karatasi na Eugin Kabendela

Abdulrahim Kabyemela
Next Post Previous Post
Bukobawadau