Bukobawadau

BEN MULOKOZI IN CALIFORNIA

Bukobawadau blogspot katika kuzihilisha kwamba kweli tunavuka mipaka waweza kumwona Ndg Ben Mulokozi(kmpuni kubwaakiwa anaperuzi kwenye laptop yake kuona ni nini kinaendelea pande za Bukoba kupitia kwenye profile ya Mc Baraka blogger wa Bukobawadau.
Hii yote ni kutokana na jitiada binafsi japo hatujafikia pale panapo takiwa!!!

Mdau Ben Mulokozi

Mdau Vicent Masabala akiwa katika pitapita zake mitaa ya California
Ben Mulokozi na familia yake kimatembezi zaidi pande za California

Mdau Vicent Masabala (kulia)picha ya pamoja na mdau Ben Mulokozi

Kiwanja kiwanja tu anaonekana kutokuwa na shaka kabisa Ndg Ben Mulokozi


-Bukobawadau tunaomba wadau wetu popote walipo kututumia Habari au Picha na sie tutazifanyia kazi

-Bukobawadau tunazidi kutoa angalizo wakati wa kuperuzi usisahau kugonga neno Oldar post ili kupata mwendelezo wa habari zilizo pita

-Waweza kutoa ushauri,maoni au changamoto kwa kuwasiliana nasi kwa email bukobawadau@gmail.com,/galiatano@yahoo.com,/sir4life@yahoo.com hii yote ni katika kukubaliana na hali ya kwamba lazima kuna mapungufu yanayojitokeza katika kuliendeleza libeneke hili

-Wasiliana kwa simu +255715 505043/0754 505043/0784 505045/+255713 397241.
Next Post Previous Post
Bukobawadau