Bukobawadau

Hapa na Pale na Camera yetu Pande za Kyaka- Mutukula

Hili ndilo Kaburi la Pamoja la Wahanga wa Vita ya Kagera 78-79
Mutukula ni Mpakani mwa Tanzania na Uganda ni umbali wa km 80 kutoka mjini Bukoba,Hivi ndivyo camera yetu ilivyo weza kushuhudia shughuli na hekaheka mbalimbali zinazo endelea.
Wadau mbalimbali upande wa Uganda madukani
Jengo la Police
kuelekea Mzani
Mnara wa kumbukumbu ya vita ya Kagera
Bukobawadau katika hili tunazidi kuwaombea Ndg na Jamaa milele
Amen.

Maeneo ya Bunazi Gulioni camera yetu kama shuhuda nyanja zote
Daraja jipya la Kyaka baada ya lile la zamani kushambuliwa wakati wa vita
Katikakumbukumbu haya ni Majengo ya Kanisa yalio shambuliwa na Wanajeshi wa Idd Amin Maeneo ya Kyaka
Bukobawadau tunakushukuru sana mwanaharakati kwa Kutufikishia Picha
Na maelezo haya japo kwa ufupi .
Bukobawadau pia tunawaaomba wadau wengine msisite kutuletea habari na picha
Next Post Previous Post
Bukobawadau