Bukobawadau

Mazishi ya Marehemu Ramadhani Hamisi yafanyika Kishenge Makaburini!!

Baadhi ya wadau waliojitokeza kumsindikiza marehema Rama Hamis mzaliwa wa kashai mwenye nasaba na Familia ya Juma idd Kikwemu
Marehemu alisumbuliwa na Ugonjwa wa Tumbo na kufanyiwa upasuaji katika hospital ya Mugana kabla ya Kuamishiwa Bugando jijini Mwanza ambapo ndipo Mauti yalimkuta.
Marehemu Rama Hamis Kaacha Mjane na mtoto Mmoja

Wapili kutoka kulia ni Ali Juma kikwemu (mpwa)wa marehemu
Mdau Murtaza katika hali ya Majonzi
Mdau Katete Kinobi
Mwili wa Marehemu ukipumzishwa kwenye makazi yake ya milele
Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa mawahidha juu ya Mtu na Mauti kwenye mazishi ya Rama Hamis
Huu ndio mwisho wa safari ya Maisha ya Marehemu Rama
-Bukobawadau blogspot tunatoa pole kwa ndg na jamaa wakliofikwa na kuguswa na msiba huu.

-Bukobawadau tunamwombea Marehemu Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi
Amen!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau