Bukobawadau

NYAKALEMBE- RUBYA (hamjajaro) wadau Pande za NYABUTOLOGO,KASHASHA ,NYAKANYASI NA IBALE..!!

Anaonekana Sister (Kulia)akifanya maemezi kwenye gulio kubwa la Nyakalembe lifanyikalo kila siku za jumapili na kukusanya wadau mbalimbali asa wafanya biashara na wanunuzi

Kama umeshafika maeneo ya Rubya Seminary na Rubya Hospital bila shaka utakua unakupmbuka Junction hii maarufu ijulikanayo kama Nyakanyasi.
Bukobawadau tulivutiwa asa na ule wingi wa Mafundi baiskeri na namna wanavyo wajibika kwa kasi ya ajabu.

Chimbuko la Neno(RWAMAGANA)ni sehemu hii wakati biashara ya mitumba ilionekana kushamili sana katikati ya 80s hadi 90 hadi hii leo Gulio la Rubya Nyakalembe linaongoza kwa wingi wa wauzaji wa Mitumba ukanda wa Muleba kwa ujumla

Dawa za asili,Mitishamba kwa ajiri ya kutibu magonjwa mbalimbali bila story wala nini ni muhimu sana ukanda huu na imekuwa kama hurkha Wahaya wengi kuitumia mara kwa mara maarufuku kama(OGWOMSHANA)!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau