Bukobawadau

BUKOBAWADAU KATIKA KUKIDHI HITAJII LA WADAU WETU WALIO OMBA MATUKIO ZAIDI YA HARUSI YA MR&MR MAKOKO :huu ni mwendelezo!!!

NI BUKOBAWADAU KATIKA MATUKIO MUHIMU YA MR&MRS MAKOKO
MATRON NA BEST MAN PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSI
SUPER MKUDE IN ACTION
MAMA HUSNA(HAWA HASSAN)AKISALIMIANA NA MATRON BI LILIAN MWISE WA PETER
MR WALTER SHEMEJI WA BI HARUSI
WADAU KATIKA KUFATILIA MATUKIO YA HAPA NA PALE
WAKATI MAHARUSI WENALISHANA KEKI,ZOEZI HILI LILIMEENDELEA KWA WAGENI WAALIKWA WOTE ,KWANI KILA MEZA ILIKUWA NA KEKE YAKE
STEP KWA STEP HADI RAHA JAMANI
WADAU WAPAMBE WA BI HARUSI NAMNA WALIVYO PENDEZA NI PICHA YA PAMOJA BI REHEMA RAMADHANI,MGENI IDRISA,DEVOTHA MTOTO WA JEANS AKA MTATA, BI SHAIDA WENGI UMUITA WA MIGELA,BI KAUTHAR MIKIDAD, NA MDOGO MTU BI HAPPY KASIMBAZI.
NI BUKOBAWADAU BLOGSPOT KATIKA MATUKIO MUHIMU YA MR&MRS MAKOKO
WASILIANA NASI TUWEZE KUFANYA CHOCHOTE NA LOLOTE JUU YAKO MDAU
TUPO MANISPAA YA BUKOBA MJINI-KIWANJA HIKI NDIO MASKANI YETU
TANGAZA NASI UPATE MANUFAA NA UPATE KUJULIKANA ZAIDI YA HAPO ULIPO
WASILIANA NASI KWA 0715 50 50 43,0754 50 50 43,0713 39 72 41 NA 0784 50 50 43
PIA WAWEZA KUTUTUMIA HABARI AU PICHA KUPITIA EMAIL ZETU NASI TUTAKUTENDEA HAKI
EMAIL bukobawadau@gmail.com,galiatano@yahoo.com na sir4life@yahoo.com
TUNAPOKEA NA TUNAITAJI SANA USHAURI NA MAONI YENU.
BUKOBAWADAU TUNASHUKRU SANA KWA WADAU WOTE WANAO TUPA USHIRIKIANO
LIBENEKE HILI KIUKWELI LIMEFIKIA HAPA KUTOKA NA JITIADA ZENU WADAU

KILA MTU ANGEPENDA APATE PICHA AKIWA KIFUANI KWA MTU NAMNA HII ILA UWAKIKA WA MAMBO NDIO TATISA
BUKOBAWADAU TUNACHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA BI HOPE NA MDAU NDG MAKOKO

UKUMBINI PANAWAKA SI KAWAIDA
WAGENI UPANDE WA BI HARUSI
PAMOJA NA HARUSI KUWA YA KISASA KUPITILIZA HAIKUZUIA KUTOKUTOA NAFASI KWA MAMBO YA ASILI....HIZI NI ZAWADI KUTOKA UPANDE WA BI HARUSI KILA KITU KIMEBEBA DHANA TOFAUTI NA KINGINE....KWA MAELEZO ZAIDI USISITE KUTAZAMA VIDEO KUPITIA YOU TUBE KWA ACCOUNT YA BUKOBAWADAU
WADAU WA UKEREWE NYUMBANI KWA BWANA HARUSI WANATOA ZAWADI ZAO ASILI KWA BI HARUSI
MDAU DONASCO KIRAJA AKIPOKEA ZAWADI YAKE YA KEKI KAMA MWANAKAMATI
MDAU JAMAL JAMCO AKIONYESHA FURAHA YAKE
MDAU MC MATOVELO AKIPOKEA PIA ZAWADI YAKE YA KEKI KAMA MWANAKAMATI
MUHUDUMU WA WALKGARD HOTEL
MDAU RUGE NAYE PIA NI MWANAKAMATI
MR NOEL AKISALIMIANA NA MAHARUSI
MR NOEL PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSI
MR MAKOKO AKITOA ZAWADI KWA WAZAZI WAKE
MR&MRS KASIMBAZI WAKITOA ZAWADI
NENO LA WANACHAMA WA UMOJA ILIFIKISHWA NA KAKA ERNEST NYAMBO.
BABA MZAZI WA MR MAKOKO AKITOA NENO
MAMA MKUDE KATIKATI KATIKA HALI YA UPENDO YEYE KAMA MZAZI
BI HARIERT,MDAU ANTHONY KAYUNGA,NA MDAU MWITA PETER

KUSHOTO NI G-SMART,MISIFA KADANKE ERAS,HARIERT NA ANTHONY KAYUNGA

CHAKULA KIMEANDALIWA NA MAMA ACHI
MR MALICK AKIPATA CHAKULA
BI JAMILA,BI RUKIA NA BI BETTY
MR&MRS PETER MGISHA
WADAU WAKIINAMA NA KUINUKA KWA PAMOJA
WADAU WAKISEBENEKA ILE MBAYAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
kEMPE KADANKE ERASMUS KABAIJO GEORGE NA KAYUNGA ANTHONY KAYUNGA
ANAITWA ROBIN aka KASIBANTE MDAU HUYU NI MUIMILI MKUBWA KATIKA VITUKO
NI KIBAO AU WIMBO WA SALANOKI KUTOKA KWA DEF DEFAO ULI0MFANYA MDAU HUYU ASHINDWE KUJIZUIA.
AMA KWA HAKIKA KILA MTU NA VITU VYAKE
Next Post Previous Post
Bukobawadau